Course Description
HII KOZI NI KWA AJILI YAKO…Ikiwa huna mtaji wa kufungulia biashara lakini una smart phone na akaunti ya Instagram. Uwe na followers 0 au followers elfu 10 na kuendelea ninakwenda kukuonyesha kwa vitendo jinsi utakavyoweza kujiingizia kipato, ndani ya wiki moja tu baada ya mafunzo. Kupitia hii kozi nitakwenda kukuonyesha jinsi unavyoweza kupata wateja kutokea ndani na Nje ya nchi
NB: Kozi hii ikawe nyenzo ya kujifunzia, mawazo yangu yasichukuliwe kama ushauri wa kitaalamu. Pale ambapo hautoridhika na yale yote nitakayofundisha humu, waeza endelea kuongeza ujuzi kwa kupitia kozi za watu wengine pia mtandaoni. Mwisho wa siku, blog hii ipo kama na natumai utatoka na jambo moja au mawili.
Utajifunza mada muhimu kama;
- Mawazo ya biashara za kufanyika Instagram
- Jinsi ya kufaidika na Instagram na Facebook kibiashara.
- Jinsi ya kujitangaza kupitia Instagram.
