Course Description
Utajifunza makosa ya kuepuka na nini cha kufanya ili kukuza channel yako ya YouTube.
HII KOZI NI KWA AJIKLI YAKO..Ikiwa unataka kuunda maudhui yako ya Video lakini hujui wapi pa kuanzia. Iwapo ungependa kuepuka makosa katika mkakati wa kukuza channel yako.Ikiwa ungependa kujua jinsi ya kuingiza kipato kupitia maudhui yako ya YouTube
Utakayojifunza:
- Jinsi ya kuiendesha channel yako
- Jinsi ya kufaidika na YouTube kibishara
- Jinsi YouTube inavyofanya kazi na kila kitu unachohitaji kujua
- Jinsi ya kujua aina gani ya maudhui ya kuchapisha
- Jinsi ya kutengenza pesa kupitia maudhui yako ya YouTube
